Mwalimu mstaafu Elijah Nyagah wa miaka 76 afaidi katika ukulima wa kahawa

  • | Citizen TV
    105 views

    Mwalimu mstaafu Elijah Nyagah, kutoka kaunti ya Elimu amegeukia kilimo na kuwa mfanyabiashara mashuhuri wa kahawa. Akiwa na miaka 76, Mwalimu Nyagah amebainisha kuwa kustaafu sio mwisho wa kazi na kujituma. Mwalimu huyu sasa akipata mapato zaidi kupitia kilimo cha kahawa, kama Mary Muoki anavyotueleza