Mwalimu na mwanafunzi wa shule ya Kapsabet wafariki kwenye ajali ya barabara

  • | KBC Video
    96 views

    Wanafunzi watano wa shule ya upili ya Kapsabet waliojeruhiwa vibaya hawamo hatarini na wanaendelea kupata nafuu hospitalini. Naibu Rais Rigathi Gachagua aliyezuru shule hiyo leo baada ya ajali hiyo iliyotokea kwenye barabara kuu ya Kabarnet-Marigat katika kaunti ya Baringo aliwataka madereva wa mabasi ya shule kuwa waangalifu barabarani.. Mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim anatueleza zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive