- 145 viewsBaada ya kuzunguka dunia kwa mwaka mmoja, Asami Okano, mwalimu wa Kijapani, alihamia Uganda kuanzisha biashara ya kilimo cha kakao na vanila. Hapa ndipo alipokutana na mumewe, Yoshito Asai, mwaka 2013. Walifunga ndoa na kupata watoto wawili, wote walizaliwa Uganda. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Mwalimu wa Kijapani aanzisha biashara ya kilimo Uganda | VOA Swahili
- 19 May 2025 - Speaking during the consecration and enthronement of Canon Patrick Kyalo Munuve as the new Bishop at ACK Cathedral in Machakos, Musyoka decried what he termed as rising authoritarianism in the region.
- 19 May 2025 - The comments, which have been widely condemned as inflammatory, have prompted stern warnings from senior state officers, including Deputy President Prof. Kithure Kindiki and Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen.
- 19 May 2025 - According to eyewitness accounts and statements from Mwangaza’s allies, police officers fired multiple teargas canisters to disperse the crowd, bringing the event to a sudden and chaotic end. One canister was reportedly thrown into Mwangaza’s vehicle…
- 19 May 2025 - After a first ride in the popemobile through an estimated crowd of up to 200,000 in St. Peter's Square and surrounding streets, Leo was officially installed as the 267th pontiff of the Roman Catholic Church at an outdoor Mass.
- 18 May 2025 - Timothy Omotoso was last month found not guilty on 32 charges, including rape, sexual exploitation and human trafficking, having spent eight years in jail.
- 18 May 2025 - Between May 7 and May 10, 2025, India and Pakistan engaged in one of their most intense military confrontations in recent history—a largely aerial conflict marked by precision drone strikes, missile exchanges, and the use of advanced air defence systems…
- 18 May 2025 - Pope Leo XIV has met with Ukrainian President Volodymyr Zelensky following his inauguration Mass. Posting on Telegram after the meeting, Zelensky thanked the new Catholic leader for his “support for Ukraine” and “clear voice in defence of a just and…
- 18 May 2025 - Tragedy has struck Orwaki Village in North Mugirango, Nyamira County, after a young man allegedly attacked and killed his father with an axe before setting him ablaze.
- 18 May 2025 - People’s Liberation Party (PLP) leader Martha Karua is back in the country after a 6-hour detention at the Julius Nyerere International Airport in Tanzania. In a statement on her X account this afternoon, Karua said her deportation had been completed.…
- 18 May 2025 - Legislators from the Orange Democratic Movement (ODM) and United Democratic Alliance (UDA) parties have strongly criticised former Deputy President Rigathi Gachagua’s remarks about potential violence after the 2027 general elections.