Mwanafunzi alazimika kukaa nyumbani baada ya kuugua maradhi ya ngozi

  • | Citizen TV
    Mwanafunzi alazimika kukaa nyumbani baada ya kuugua maradhi ya ngozi Wilkista Gesare anasema kuwa unyanyapaa shuleni umemkosesha amani Daktari asema maradhi hayo ni sugu na yanahitaji matibabu haraka