Mwanafunzi aliyefukuzwa kwa kukosa karo apokea msaada

  • | Citizen TV
    siku moja tu baada ya Runinga ya Citizen kuangazia masaibu ya mwanafunzi aliyekuwa amesitisha masomo kwa zaidi ya wiki Tatu baada ya kufukuzwa shuleni kwa kukosa karo, msichana huyo,Esther Mwende, amefadhiliwa na hazina ya elimu ya eneobunge la voi.