Mwanafunzi aliyepata alama 409 akosa matumaini

  • | Citizen TV
    796 views

    Huku wanafunzi wengine wakiwa kwenye pilka pilka za kujiunga na kidato cha kwanza, matumaini ya binti mmoja aliyepata alama 409 kaunti ya kisii yako kwenye njia panda. Wazazi wa martha gesare wameweza tu kumnunulia mwana wao sanduku, wakisema hawana uwezo wa kuhakikisha anafika shule ya wasichana ya asumbi kaunti ya Homa Bay.