Mwanafunzi aliyepita mtihani wa KCPE hatimaye apata ufadhili wa kujiunga na shule ya upili

  • | KBC Video
    12 views

    Jeremy Mwenda, mwanafunzi kutoka eneo la Igembe kaskazini kaunti ya Meru, aliyepita mtihani wake wa darasa la nane-KCPE na kukosa pesa za kufadhili masomo yake ya shule za upili hatimaye amepata ufadhili wa kumwezesha kujiunga na shule ya upili . Shirika la utangazaji nchini-KBC liliangazia masaibu ya mwanafunzi huyo siku 12 zilizopita hali iliyowafanya wahisani kujitokeza kumlipia karo. Jeremy alikuwa ameitwa katika shule ya upili ya wavulana ya Igembe baada ya kupata alama 368.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #dirayamagwiji #News