Mwanafunzi aliyewakilisha Kenya kwenye michezo ya soka Afrika Mashariki asherehekewa

  • | Citizen TV
    419 views

    Mwanafunzi wa shule ya msingi ya Mariba katika Kaunti ndogo ya Nyatike ambaye alikuwa mlinda lango wa timu ya soka ya wasichana ya Kenya iliyoshiriki michezo ya Afrika Mashariki mwaka huu aliandaliwa sherehe shuleni huku siku ya kimataifa ya mtoto wa kike ikiadhimishwa ulimwenguni.