Mwanafunzi aliytoweka Kisii mwezi Disemba arejea nyumbani

  • | Citizen TV
    Baada ya Runinga ya Citizen kuangazia taarifa ya Kijana aliyepotea miezi mitatu baada ya kupokea matokeo yake KCPE, shangwe na nderemo zilisheheni katika familia ya Ian Mochama ambaye alipatikana jijini Mombasa .