Mwanafunzi katika chuo kikuu cha Co-operative atoweka

  • | KBC Video
    842 views

    Familia moja katika kijiji cha Tuthu, eneo bunge la Kangema, Kaunti ya Murang’a inasononeka huku ikitoa wito kwa mashirika ya serikali na wahisani kuisaidia kumtafuta mtoto wao wa kiume mwenye umri wa miaka 23. Erick Joseph Irungu ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa nne katika Chuo Kikuu cha Ushirika cha Kenya huko Karen, Kaunti ya Nairobi, alitoweka Jumapili, tarehe 13 mwezi uliopita na juhudi za kumtafuta zimeambulia patupu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive