Mwanafunzi mmoja afariki kabla ya kuanza mtihani

  • | Citizen TV
    692 views

    Na mtihani huu wa KCSE ulipokuwa ukianza, mtahiniwa mmoja amefariki kaunti ya Meru.. Kamishna wa Meru Jacob Ouma anasema kuwa mwanafunzi huyu alifariki eneo la Tigania East usiku wa kuamkia leo. watahiniwa wengine watatu walifanya mtihani wao wakisubiri kujifungua katika hospitali za Meru na Nakuru