Mwanafunzi mmoja afariki kabla ya mtihani wa KCSE

  • | Citizen TV
    6,852 views

    Mwanafunzi mmoja amefariki huku wengine watatu wakifanya mtihani wao wa kidato cha nne KCSE wakiwa waja wazito. Haya ni huku wanafunzi 965, 501 wakifanya mtihani huo nchini. Waziri wa elimu Julius Migos amesema kuwa kwa mara ya kwanza, majina ya watahiniwa yamechapishwa kwenye karatasi za mitihani ili kuzuia udanganyifu.