Mwanafunzi Mwenye umri wa miaka tisa apigwa risasi na majangili katika eneo la Longewan, Samburu

  • | Citizen TV
    562 views

    Mwanafunzi Mwenye umri wa miaka tisa amepigwa risasi katika uvamizi wa hivi punde wa majangili katika eneo la Longewan, Samburu Magharibi. Mwanafunzi huyo aliyepigwa risasi kichwani amesafirishwa hadi hospitali ya rufaa ya Samburu anakoendelea kupokea matibabu. Hakuna Mifugo walioibwa wakati wa tukio.