Mwanafunzi Nanyuki aliyepata alama 358 katika KCPE aomba msaada ili ajiunge na kidato cha kwanza

  • | KBC Video
    22 views

    Collins Ogong’o aliyekuwa miongoni mwa wanafunzi bora katika mitihani ya kitaifa ya 2023 huko Nanyuki, kaunti ya Laikipia bado hajajiunga na kidato cha kwanza. Kijana huyo anatoka kwa familia isiyoweza kujimudu na amekosa karo ya kumwezesha kujiunga na shule ya upili licha ya kupata alama 358 na kuibuka mwanafunzi wa pili bora katika shule ya msingi ya Nanyuki DEB. Familia yake sasa inawaomba wahisani kumfadhili ili aweze kujiunge na shule ya upili ya Naromoru

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive