Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Kenyatta aliyefariki kwenye ajali ya barabarani azikwa huko Makueni

  • | Citizen TV
    4,585 views

    Mmoja wa waliokuwa wanafunzi wa chuo kikuu cha Kenyatta waliofariki kwenye ajali ya barabarani eneo la Maungu kaunti ya Taita Taveta amezikwa kaunti ya Makueni.