Mwanafunzi wa gredi ya 4 auawa baada ya kunajisiwa na mwili wake kutupwa mtaroni

  • | West TV
    Hali ya majonzi imetanda katika kijiji cha Munyuki katika eneo bunge la Lugari katika kaunti ya Kakamega baada ya mwanafunzi mmoja wa gredi ya nne kunajisiwa kabla ya kuuawa na mwili wake kutupwa katika mtaro wa maji taka