Mwanafunzi wa KMTC azuiliwa kwa madai ya kumuua mwanawe mchanga

  • | KBC Video
    157 views

    Maafisa wa Polisi katika kaunti ya Machakos wamemzuilia mwanafunzi wa chuo cha mafunzo ya matibabu, mwenye umri wa miaka 23 kwa madai ya kumuua mwanawe mchanga na kisha kumtupa chooni. Na jinsi anavyoripoti mwanahabari wetu Yusuf Farah, Martha Atieno anadaiwa kutekeleza unyama huo katika eneo la Kenya-Israel siku moja baada ya kujifungua.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive