Mwanafunzi wa Nyamira Polytechnic auawa kwa kupigwa risasi

  • | TV 47
    128 views

    Mwanafunzi wa Nyamira Polytechnic auawa kwa kupigwa risasi.

    Wanafunzi walalamikia hali mbaya ya barabara.

    Kituo cha Polisi cha Itibo chachomwa na wanafunzi.

    Polisi wa Nyamira wathibitisha kisa lakini hawatoi maelezo kamili.

    Brian Arisa alipigwa risasi kifuani na kufariki dunia.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __