12 Mar 2026 7:28 pm | Citizen TV 1,645 views Duration: 1:39 Mwanafunzi mmoja wa shule ya upili ya watoto wasio na uwezo wa kusikia ya Kapsabet amefariki huku wengine 10 wakijeruhiwa baada ya kuanguka kwenye pishe pishe ya kumsubiri Rais William Ruto.