Mwanafunzi wa uuguzi aliyepata umaarufu kwa kushtumu vikali uongozi wa wauguzi KNUN

  • | K24 Video
    182 views

    Mwanafunzi wa uuguzi katika chuo kikuu cha moi ambaye video yake ilisambaa mitandaoni kwa kuushutumu vikali uongozi wa muungano wa wauguzi-KNUN- anasema alikusudia kuangazia masaibu yanayowakumba na sio kuwashambulia viongozi. Joylene Nashipai aliyehojiwa na runinga ya K24 amesema masaibu yao ni mengi ila muungano wao umeyafumbia macho na wanaona viongozi wao wanacheza ngoma ya serikali kuu.