Mwanahabari Transnzoia adai kupokea vitisho

  • | Citizen TV
    1,980 views

    Mashirika ya kijamii na wanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu katika kaunti ya Trans nzoia wanaitaka idara ya polisi kuwakamata waliomtishia mwanahabari wa Standand Group Osinde Obare.