Mwanaharakati aelezea mchango wa Rais Kenyatta

  • | VOA Swahili
    121 views
    Mwanasheria na mwanaharakati aeleza Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta atakumbukwa kutokana na mchango wake wa kutafuta uwiano na makundi mbalimbali kuleta umoja nchini. Pia Rais atakumbukwa kwa juhudi kubwa ya kuleta maendeleo nchini. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.