Mwanaharakati Bob Njagi aeleza aliyopitia alipotekwa nyara

  • | Citizen TV
    1,965 views

    Siku 20 baada ya kuachiliwa huru na waliomteka nyara mwanaharakati Bob Njagi amepasua barika na kuelezea yaliyomsibu mikononi mwao kwa muda wa siku 32. Njagi amesema kwa muda huo wote hakuruhusiwa kutangamana na mtu na alikuwa akioga mara moja kwa wiki.