Mwanaharakati Boniface Mwangi aachiliwa na kupatikana Kwale

  • | Citizen TV
    3,464 views

    Mwanaharakati boniface mwangi ameelezea namna alivyoteswa kabla ya kutupwa katika kituo cha Horohoro mpakani mwa Kenya na Tanzania, siku nne baada ya kukamatwa na maafisa wa usalama wa Tanzania. Mwangi aliachiliwa baada ya vuta nikuvute huku wizara ya mashauri ya kigeni ya Kenya ikisema Tanzania ilikuwa imekataa kumwachilia raia wake kinyume cha sheria za kanda hili na kimataifa.