Mwanaharakati mmoja akamatawa jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    635 views

    Baadhi ya wanaharakati walifanya maandamano ya kushinikiza waliotekwa nyara waachiliwe huru. Kwenye maandamano yaliyofanyika jijini Nairobi, Mwanaharakati Julius Kamau alikamatwa na anazuiliwa na maafisa wa usalama. baadhi ya waandamanaji walijitokeza eneo la Pwani na kukashifu kitendo hicho.