Mwanaharakati Rose Njeri ameachiliwa huru kwa dhamana ya Sh100,000

  • | NTV Video
    1,704 views

    Mwanaharakati Rose Njeri ambaye alikuwa amekamatwa na maafisa wa polisi kwa tuhuma ya kuunda tovuti inayowezesha Wakenya kupinga vipengele tata vya mswada wa fedha wa mwaka 2025 ameachiliwa huru kwa bondi ya shillingi 100,000.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya