Mwanaharakati Rose Njeri asema azma yake ni kuwaelimisha wananchi

  • | Citizen TV
    2,255 views

    Mwanaharakati Rose Njeri alipata umaarufu baada ya kukamatwa wiki iliyopita kwa tuhuma za uhalifu wa kimtandao. Polisi wanadai kuwa alibuni jukwaa la kidijitali linalodaiwa kuvuruga mifumo ya barua pepe ya Bunge. Ingawa Njeri amekuwa akipaza sauti kuhusu utawala bora kupitia mitandao ya kijamii, mengi kuhusu mama huyu wa watoto wawili hayajulikani.