Mwanahistoria Mohamed Said aeleza jinsi Dr Salim Ahmed Salim alivyoifanya Tanzania ing'are duniani

  • | VOA Swahili
    219 views
    Mwanahistoria na mwandishi wa vitabu Mohamed Said anaelezea namna Dr Salim Ahmed Salim ambaye aliwahi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi huru Barani Afrika OAU na Waziri Mkuu wa Tanzania alivyotekeleza wajibu wake na kuweza kumjengea sifa kubwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Ungana naye akieleza sababu zilizopelekea siasa za mambo ya nje za Tanzania kung'ara... #tanzania #kumbukumbu #kidigitali #katibumkuu #umojawanchihuru #afrika #salimahmedsalim #wazirimkuu #voa #voaswahili #wakili #mwandishi #mwanahistoria #mohamedsaid #ahmedsalim - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.