Mwanajeshi aliyeuwawa kwenye ajali azikwa

  • | Citizen TV
    1,971 views

    Afisa wa jeshi lieutenant Daniel mutinda nzuva na ambaye alianga kutokana na ndenge yenye walikua nayo kuanguka kinango kwale county amezikwa nyumbani kwao kwenye kijiji cha katoteni talafa ya nzawa mwingi west