Mwanajeshi amuua mpenziwe kabla ya kujiua Nanyuki

  • | K24 Video
    126 views

    Penzi liligeuka na kuwa majonzi huko nanyuki, kaunti ya Laikipia baada ya mwanajeshi kummiminia risasi mpenzi wake na kumuua papo hapo. Afisa huyo wa KDF, Emmanuel Onyango kisha alijipiga risasi lakini aliaga dunia alipokuwa akipokea matibabu. Katika kaunti ya Kakamega katika kile kinachodaiwa kuwa mgogoro wa ardhi kimechangia mwanamume kuuawa