Mwanamke akilia pembeni ya mwili wa mwendesha pikipiki aliyeuawa na moja ya roketi za Hamas

  • | VOA Swahili
    222 views
    Mkanda wa video unamuonyesha mwanamke akilia juu ya mwili wa mwendesha pikipiki Jumamosi baada ya shambulizi lililoenea eneo kubwa lililofanywa na Hamas ndani ya Israeli ambalo limesababisha vifo vya zaidi ya watu 300, kulingana na idara ya dharura ya nchi hiyo.⁣ ⁣ Katika mji wa Sderot karibu na mpaka na Ukingo wa Gaza, mwanamke huyo alisikika akisema “Niliyafunga macho yake, niliyafunga macho yake”, huku mwanamme mwingine akijaribu kuuondoa mwili huo uliokuwa uko mtaani. - AP⁣ ⁣ #israel #gaza #reels #igreels #videography #voa #hamas