Mwanamke anayedai kufanya ngono na pepo- Waridi wa BBC

  • | BBC Swahili
    Hujafa hujaumbika. Vennie Katoti, ni binti mwenye umri wa miaka 31 kutoka Kenya. Alipokuwa mjazito Vennie anakumbuka kuwa usiku mmoja aliota ndoto akishiriki tendo la ndoa na mtu ambaye hakumuona. Ajabu iliyoje? Alizungumza na mwanahabari wetu Anne Ngugi #WaridiwaBBC #BBCSwahili