Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke anayetafiti maisha ya simba

  • | BBC Swahili
    34,075 views
    Duration: 1:43
    Kwa wengi, simba ni mnyama wa kuogopwa, lakini kwa Hellen Ponsian, simba ni sehemu ya maisha yake ya kila siku. Ndani ya Hifadhi ya Serengeti nchini Tanzania, binti huyu anawatafiti simba 300, kufuatilia mienendo yao, akiwajua majina, koo zao mpaka historia yao. Ni miongoni mwa watafiti wachache wa kike barani Afrika wanaoshiriki katika utafiti na uhifadhi wa wanyama hawa. Mwandishi wa BBC @yusuphmaziku amemfuata Serengeti - - 📹 @bosha_nyanje #bbcswahili #wanyama #simba #serengeti Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw