Mwanamke anayetumia matibabu ya sindano kuzuia HIV atoa nasaha zake

  • | VOA Swahili
    134 views
    Mwanamke wa Zimbabwe aeleza alipigwa sindano ya kuzuia HIV wakati alipokuwa anafanya kazi nchini Marekani. Kabla ya kupigwa sidano hiyo alikuwa akitumia dawa za HIV kila siku kwa miaka saba. Lakini hivi sasa anamatumaini kwa sababu sindano hiyo imeidhinishwa kutumika nchini Zimbabwe ataweza kupigwa kila baada ya miezi miwili. Ungana na mwandishi wetu kusikiliza jinsi mwanamama huyo anavyoeleza jinsi alivyopokea matibabu hayo na anashauri nini... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.