- 72 viewsJanga la corona liliacha athari mbalimbali humu nchini, wengine walipoteza ajira huku wengi wakipata matumaini mapya ya maisha. Kwa Watu kadhaa wenye ulemavu wa kutoona katika mtaa wa umoja hapa nairobi janga hilo lilifungua ukurasa mpya wa maisha yao. Kupitia juhudi za mama teresia mumbi marara sasa wamepata njia ya kujikimu kimaisha kwa kutengeza bidhaa zinatokana na shanga. Si hayo tu bali wengine pia wamepata sehemu ya faraja kwa ajuza huyo mwenye umri wa miaka 70 kufutia chamgamoto mbalimbali za maisha wanazokunbana nazo. Hebu tusikize kwa kina simulizi yake katika makala yetu ya mwanamke bomba yanayofuata sasa