Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke bomba anayeongoza chuo kikuu cha urembo Nairobi, aathiri maisha ya watu 6000+

  • | Citizen TV
    1,334 views
    Duration: 5:18
    Kwa wengi biashara ya saluni ni njia ya kujipatia riziki na kujiimarisha kiuchumi. Lakini kwa Esther wangare kinyanjui ni zaidi ya kazi kwani imemsaidia kuinua jamii zisizojiweza maishani na kuwapa matumaini vijana wengi.kwa zaidi ya miaka 20 sasa amekuwa mwajiri, mwalimu na mlezi wa zaidi ya watu 6000 waliopitia mikononi mwake. Ni safari ambayo hakuiwaza wala kuipanga lakini kupitia bidii na kujittuma amekuwa mkurugenzi mkuu wa chuo mashuhuri cha urembo hapa jijini Nairobi. Hebu tusikize simulizi yake katika makala yetu ya mwanamke bomba yanayofuata sasa