Skip to main content
Skip to main content

Mwanamke bomba

  • | Citizen TV
    388 views
    Duration: 4:36
    Josephine Nyokabi Njoroge kutoka Busia amekuwa dereva wa magari ya masafa marefu kwa miaka minne sasa. Ujuzi wake wa kundesha malori hayo umempa mwakamke huyu wa miaka 50 uwezo wa kushindana na waume katika kazi hiyo. Kando na kuwa dereva, mama huyo wa watoto watano mara kwa mara huwa utingo wa magari hayo.