| Mwanamke Bomba | Irene Chepkemboi anawaokoa waraibu wa vileo

  • | Citizen TV
    908 views

    Irene Chepkemboi ni mwanamke aliyejitwika jukumu la kuwaokoa waraibu wa vileo na wale wenye magonjwa ya akili katika kaunti ya Busia na hata sehemu nyingine mbalimbali nchini. Yeye hutembelea vituo vya chang'aa ambako uraibu umekita haswa katika eneo la Sofia mpakani mwa Kenya na Uganda, akitoa ushauri na hamasa kwa waraibu haswa wanawake.