Mwanamke Bomba | Janet Dete wa miaka 22 aongoza uhifadhi wa mazingira Mathare

  • | Citizen TV
    483 views

    Katika mwanamke Bomba hii Leo tunamuangazia Janet Dete mwenye umri wa miaka 22 ambaye amekuwa kiungo muhimu katika uhifadhi wa mazingira Eneo la Mathare. Ni shughuli ambayo inampa kipato, ni ajira kwa wenzake pia na inamsadia kuendeleza taaluma anayosemea chuo kikuu.