Mwanamke Bomba | Juliet Karisa ni mpiga mbizi baharini

  • | Citizen TV
    1,633 views

    Kazi ya kupiga mbizi baharini Kwa kiwango kikubwa imeachiwa wanaume. Hata hivyo idadi ya wanawake wanaojihusisha na kazi hiyo sasa inaongeza huku magwiji kama vile Juliet karisa wakijitolea kuwapa mafunzo na kuwakuza wanaoinukia. Kwa zaidi ya miaka 10 Juliet amekuwa akifanya utafiti wa ndani ya bahari katika shirika la KMFRI Kwa kupiga mbizi na hii Leo ndiye anayetupambia makala yetu ya mwanamke Bomba.