MWANAMKE BOMBA | Mary Kamyau amedhihirisha ubabe wake kwenye udereva

  • | Citizen TV
    Mary Kamyau amedhihirisha ubabe wake kwenye udereva Kampuni ya Samper imemwajiri pekee kama mwanamke dereva Nairobi Ni mwanamke mmoja pekee miongoni mwa wanaume zaidi ya 50