| MWANAMKE BOMBA | Mary Nzilani anafanya kazi katika makafani Machakos

  • | Citizen TV
    1,108 views

    Leo katika makala yetu ya mwanamke Bomba kutana na Mary Nzilani ambaye alimua kuchimba riziki kupitia kazi ya kuhudumu katika chumba cha kuhifadhi maiti katika hospitali ya Machakos level 5. Ni kazi ambayo anasema alivutiwa nayo miaka mingi iliyopita alipokuwa akifanya kazi kama mhudumu wa wagonjwa kwenye hospitali hiyo. Je ni kipi kilichompa msukumo wa kutaka kuhudumu katika hifadhi ya maiti? Na vipi anadumu kazi hiyo na maisha yake ya kila siku? Hebu tusikilize simulizi yake Kwa kina.