| Mwanamke Bomba | Mercy anatengeza fanicha za mapambo za Chuma

  • | Citizen TV
    395 views

    Katika kazi ama biashara ambazo wasichana wengi wanaoenekana kuchangamkia, kazi ya vyuma ni mojawapo ya zile ambazo wengi wao kamwe hawazifikiri wala kuzitilia maanani. hata hivyo mercy wanjiku ndirangu anajipatia riziki na hata kutoa ajira kwa vijana wenzake kupitia kazi ya kutengeza fanicha za mapambo za chuma. Mercy ana ndoto ya kufika mbali kwenye sekta ya jua kali.