Mwanamke Bomba~ Nampayo abadilisha maumivu kuwa tumaini kupitia mradi wa Fistula Narok

  • | Citizen TV
    122 views

    NAMPAYO KORIATA KUTOKA KAUNTI YA NAROK AMEPITIA DHULMA ZA KIJINSIA IKIWEMO KUOZESHWA MAPEMA AKIWA NA MIAKA 16 NA KULAZIMIKA KUWACHA SHULE. NAMPAYO ANASIMULIA JINSI AlivyobADILISHA MAKOVU KUWA BARAKA KWA JAMII HASA WANAWAKE KATIKA ENEO LA OLOLULUNG’A, NAROK KUSINI KUPITIA MRADI WAKE WA KORIATA FISTULA TRUST.