Mwanamke Bomba | Sarah Lenapunya hufanya kazi ya kusafirisha watu kutumia boti

  • | Citizen TV
    434 views

    Katika makala ya Mwanamke Bomba hii Leo, tunamuangazia Sara Lenapunya kutoka Kaunti ya Baringo. Kwa miaka mingi, Sarah amekuwa akifanya kazi ya kusafirisha watu Kwa boti, wakiwemo wenyeji na watalii kuvuka ziwa Baringo mbali na kujishughulisha na uvuvi