Mwanamke Bomba | Sarah Lengaapati ni afisa wa afya nyanjani wa kujitolea

  • | Citizen TV
    405 views

    Kwenye makala yetu ya Mwanamke bomba wiki hii tunamwangazia Sarah Lengaapati afisa wa afya nyanjani wa Kujitolea huko samburu. Sara hutoa huduma za tiba shifa Kwa wagonjwa hasa walioshindwa kufika hospitalini ambao wanaugua majumbani. aidha amekuwa tumaini kwa wagonjwa wengi ambao wametelekezwa na jamaa zao hospitalini. Ni kutokana na juhudi zake za kujitolea ambapo hii Leo tunamvisha Taji la mwanamke Bomba.