Mwanamke Bomba | Susan Wangare alirudi shule na kupata elimu baada ya miaka kadhaa

  • | Citizen TV
    404 views

    Licha ya changamoto za kupata ujauzito akiwa na umri mdogo na baadaye kumpoteza mumewe aliyekuwa tengemeo lake, Susan Wangare hakukata tamaa bali aliamua kujiimarisha na kuwa mfano wa kuigwa katika jamii. Ari yake ya kupata elimu ilimrudisha shule baada ya miaka kadhaa na kuhitimu na alama ya b katika mtihani wa KCSE mwaka 2022