Mwanamke Bomba : Tunamuangazia mtaalamu wa macho Lillian Kwamboka

  • | Citizen TV
    127 views

    Udaktari, uanasheria na uhandishi ni taalamu ambazo Watoto wengi wanapoinukia wanakuwa na ari ya kuzifanya, huku idadi ya wanawake sasa ikionekana kungozeka maradufu katika sekta hizo. Japo Lilian Kwamboka alitaka sana kusomea taaluma ya udaktari na hakutarajia kwamba angeishia kuwa mtaalamu wa upasuaji wa macho kazi ambayo ameifanya kwa miaka 15 sasa.