Mwanamke mmoja abakwa na kuuwawa mjini Maralal

  • | Citizen TV
    616 views

    Familia Moja viungani vya mji wa Maralal Kaunti ya Samburu inalilia haki baada ya jamaa yao kubakwa na kuuwawa. Tukio hili limesababisha hofu katika eneo la Rangau-Loikas kwani visa vya ubakaji na mauaji vinaarifiw akufanyika kwenye msitu mmoja ulioko karibu na ofisi ya kamishna wa kaunti hiyo