Mwanamke mmoja afunga pingu za maisha na barafu wake wa moyo ambaye alifariki wiki iliyopita

  • | Citizen TV
    2,112 views

    Mwanamke mmoja mwenye umri wa makamu amefunga pingu za maisha na barafu wake wa moyo ambaye alifariki wiki iliyopita. Mwanamume huyo alifariki siku chache kabla ya harusi yake na kumlazimu mpenziwe kuhiari kutimiza ahadi zao siku ya mazishi.